Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia tovuti za www.tzdiaspora.com na www.tzdiaspora.org .
Endapo mtakwama ama kukumbana na changamoto yeyote musisite kuwasiliana na waandaaji kupitia kwenye email ya Idara: diaspora@nje.go.tz amaubalozi@tanzaniaembassy-us.org
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia tovuti za www.tzdiaspora.com na www.
Endapo mtakwama ama kukumbana na changamoto yeyote musisite kuwasiliana na waandaaji kupitia kwenye email ya Idara: diaspora@nje.go.tz ama
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...