Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani,Thabeet Massa akimkaribisha mgeni rasimi katika mazimosho ya wiki ya nenda kwa Barabarani jiji Dar es Salaam
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke,Endrew Satta akihutubia wananchi juu ya kuedesha kwa salama okoa maisha katika harakati za wiki ya nenda kwa Barabarani jiji Dar es Salaam
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke,Endrew Satta akiwakabidhi vyeti madereva bodaboda waliofuzu mafuzo ya Pikipki katika wiki ya nenda kwa Barabarani jiji Dar es Salaam
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mkowa wa Temeke,Endrew Satta akitembelea mabanda ya maonyesho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani jijini Dar es Salaam
Umoja wa waendesha Pikipiki Temeke (UWAPITE) wakiwa kwenye picha ya pamoja katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Barabarani jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Masaka wa Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...