Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Jana, jijini Dar es salaam.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa katika Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati walipokutana Jana, jijini Dar es salaam.
Unafik unafik unafik unadhihiri wazi wazi. Hata kwenye Quran, surat l kaafirin ni fupi sana lkn surat l munaafikin ni refu sana, kwa sababu wanafik ni wabaya zaidi
ReplyDelete