Baadhi ya wanafunzi waliopata vyandarua katika programu ya Rais ya uhamasishaji wa matumizi ya vyandarua kuzuia malaria kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na ugawaji wa vyandarua bure kupitia mashuleni imeanzia katika mikoa ya Lindi , Mtwara na Ruvuma mwezi huu.
Waalimu wakijiandaa kugawa vyandarua katika shule mkoani Lindi
Wanafunzi wakichukua vyandarua kwa zamu
Wanafunzi wakifurahi kwa kupatiwa vyandarua vya bure
Duh perege, kambale watakoma.......
ReplyDelete