Ndg.Robert Gondwe wa Dar es Salaam,anasikitika kutangaza kifo cha kaka
yake Geoffrey Boardington Gondwe kilichotokea jana(25.08.2015).
Ataangwa
kesho(27.08.2015) kwake Kunduchi saa 6 mchana. Mazishi yatafanyika katika makaburi ya Kinondoni saa kumi jioni.
Sisi tulimpenda, lakini BWANA alipenda zaidi. Jina lake BWANA na lihimidiwe...
AMINA!
Sisi tulimpenda, lakini BWANA alipenda zaidi. Jina lake BWANA na lihimidiwe...
AMINA!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...