Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimzawadia Cheti, Afisa wa Shirika la Maendeleo Petroli Tanzania, Ally Mluge kutambua mchango wa TPDC kufanikisha kongamano hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Dkt. James Mataragio akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania katika Mkutano wa Diaspora jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio akizungumza na Mwakilishi wa Serikali ya Tanzania Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Bw. Michael Serek alipotembelea Banda la TPDC.
Mhandisi wa Petroli TPDC, Felix Nanguka akitoa maelezo kuhusu sehemu za uzalishaji wa gesi asilia kwa Mshiriki wa kongamano hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...