Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika sherehe ya kumuaga mara baada ya kumaliza uongozi wake katika Serikali ya awamu ya nne.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Tom Nyanduga katika Sherehe iliyoandaliwa na Tume ya kumuaga mara baada ya kumaliza Uongozi wake.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Tom Nyanduga akizungumza katika sherehe ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kumaliza utawala wake katika serikali ya awamu ya nne ,ndani ya ofisi za tume hiyo.
Baadhi ya viongozi wa Serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika Sherehe ya kumuaga baada ya kumaliza uongozi wake katika serikali ya awamu ya nne.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora mara baada ya kuwasili katika ofisi yao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...