Baadhi ya Wanamichezo wa Michezo mbalimbali katika Wilaya ya Wete   wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Kiwanja cha Baskatball na ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Michezo katika Nyumba za  Polisi Mess Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
 Baadhi ya Wanamichezo wa Michezo mbalimbali katika Wilaya ya Wete   wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Kiwanja cha Baskatball na ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Michezo katika Nyumba za  Polisi Mess Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akirusha mabofu kama ishara ya uzinduzi wa Kiwanja cha Basketball cha Polisi Mess Wete,ambapo pia aligawa vifaa mbali mbali vya michezo kwa Timu za Wilaya hiyo kwa michezo mbali mbali jana akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa Kiwanja cha Basketball cha Polisi Mess Wete,kabla ya kugawa vifaa mbali mbali vya michezo kwa Timu za Wilaya hiyo kwa michezo mbali mbali jana akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya mchezo wa Karati khalfan  Suleiman wa Wete  katika sherehe za uzinduzi wa Kiwanja cha Basketball cha Polisi Mess na ugawaji wa vifaa kwa Timu mbali mbali za Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana akiwa katika ziara ya kikazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya mchezo wa Bad minton Ali Mwinyi Faki katika sherehe za uzinduzi wa Kiwanja cha Basket ball cha Polisi Mess na ugawaji wa vifaa kwa Timu mbali mbali za Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba jana akiwa katika ziara ya kikazi. Picha na Ikulu - ZNZ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...