Ofisa
Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt
akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya Uzinduzi wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma
ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram (Moneygram M-Pesa)ambayo
itawanufaisha wateja wanaoishi Nje ya nchi kutuma fedha na kuingia moja kwa
moja kwa jamaa zao waliopo nchini.Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es
Salaam.
003.Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu
ya Tanzania(BoT)Bernard Dadi(katikati)
na Makamu wa Rais wa Moneygram Afrika,Herve Chomel(kulia)wakimshuhudia Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma
za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt(kushoto)akisaini
mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea
fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram(Monegram M-Pesa)ambayo itawanufaisha
wateja wanaoishi Nje ya nchi kwa kutuma fedha na kupokea moja kwa moja kwa jamaa zao waliopo nchini,
Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu ya Tanzania(BoT)Bernard
Dadi(katikati) akiwashuhudia
Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques
Voogt(kushoto) na Makamu wa Rais wa Moneygram Afrika,Herve Chomel(kulia)wakipongezana
mara baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa
njia ya M-pesa na Moneygram(Moneygram M-Pesa)ambayo yatawanufaisha wateja
wanaoishi Nje ya nchi kwa kutuma fedha na kupokea moja kwa moja kwa jamaa zao waliopo nchini, Uzinduzi
huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...