Ni Siku ya 16 huku Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 Msimu wa nne
shindano linalo endeshwa na Shirika la Oxfam kupitia Kampeni yake ya
Grow, Likiwa linaelekea Ukingoni ambapo katika siku hii tunaona Maisha
ya Mama Shujaa wa Chakula walivyo ishi kwa Siku 15, lakini kubwa zaidi
ni wakazi wa Kijiji cha Kisanga hususani wale ambao ndio waliokuwa
wanaishi na Akina mama hao katika Kaya zao kutoa maoni yao jinsi walivyo
ishi na akina Mama hao. Pia hapa tutaona wasifu wa Washiriki wote wa
Shindano la Mama Shujaa wa Chakula ambapo kauli mbiu ni 'Wekeza kwa
wakulima wadogo wadogo wanawake inalipa'
Washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...