Sehemu ya wageni waalikwa akiwemo Mama Shamim Khan ( wa kwanza kushoto) wakimsiliza Bw. Rodriguez (hayupo pichani) |
Bw. Baraka Chelego akiwasilisha mada kuhusu Vijana na Uchaguzi: Fursa na Changamoto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Amani |
Sehemu ya Maafisa wa Jeshi wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa. |
Kikundi cha Burudani kikitumbuiza wakati wa maadhimisho hayo huku mgeni rasmi Balozi Mulamula na wajumbe wengine kwenye meza kuu wakifurahia |
Balozi Mulamula akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya maadhimisho kumalizika |
Balozi Mulamula akiagana na Bw. Alvaro |
Balozi Mulamula akiagana na Kiongozi wa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini ambaye pia ni Balozi wa DRC, Mhe. Juma Halfan Mpango. |
Balozi Mulamula akiagana na Balozi Mseleku |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...