Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilani ya Uchaguzi ya CCM mbele ya nyomi kubwa wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais mbele ya umati mkubwa sana katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia nyomi ya wananchi na wanaCCM wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongea na umati mkubwa sana wa wananchi leo wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wananchiu wenye furaha baada ya uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa akiagana na viongozi wa CCM Zanzibar baada ya kuhudhuria na pia kuhutubia katika uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin William Mkapa akionesha alama ya dole tupu wakati akiagana na viongozi wa CCM Zanzibar baada ya kuhudhuria na pia kuhutubia katika uzinduzi wa kampeni za Urais katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
CCM chama chenye misingi na hoja zenye mashiko. CCM mbele kwa mbele.
ReplyDelete