The on-going construction of the main terminal building of Terminal III of Julius Nyerere International Airport in Dar es salaam to facilitate  3.5 million annual passengers – including parking lots, access roads, platforms and a taxiway. 
The new terminal is designed (together with NACO, Netherlands Airport Consultants) for the anticipated growth of international air traffic, leaving the existing international Terminal 2 to cater for domestic flights. The design of the roof is inspired on the traditional sailing boats that can be found at the Dar es Salaam Coast.


How it will look like after completion. For source and more CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kazi nzuri sana hii tunafurahia maendeleo haya. Kwa wanaosafiri sana watakubaliana na mimi ni maendeleo ambayo wakati wake umekuja. Ukienda Uingereza, Dubai, Kuala Lumpur, Beijing n.k unatembea airport mpaka umewekewa mashine za kutembea usije ukachoka mwendo ulivyokuwa mrefu, ndani kwa ndani unaingia kwenye treni na lift ndefu kabisa, kabla ujaelekea kwenye lango lako au sehemu ya kukaguliwa passport. Ajira za watendaji wa serikali wa sekta mbali mbali ndani ya uwanja, maduka na wahudumu ni nyingi. Hatutaki kuangalia vya wenzetu wakati kwetu kulikuwa kumepitwa na wakati. Ni maendeleo mgeni atakayokutana nayo akiingia yanampa taswira ya Tanzania, waafrika wenzetu wengi wameyachangamkia ni vizuri hatujabaki nyuma.

    ReplyDelete
  2. Mradi huu wa jengo la 3 itakuwa moja kati ya legacy ya Rais Kikwete.. tutakukumbuka Mzee!

    ReplyDelete
  3. Well done, nafikiri pia maana tuko kwenye dunia ya utandawazi kila siku tunasafiri kwenda nchi za watu tunaona mazuri mengi tuyachukue,hapo terminal 3 tungekua na subway/metro/electrical train to city centre other parts of DSM area

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...