Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi fedha tasilim
Shilingi za Kitanzania Millioni mbili Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe,Jecha Salim Jecha wakati aliporejesha
fomu za kugombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi
iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Wananchi
waliofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja baada ya
kurejesha
fomu za kugombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi
iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Wananchi
waliofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja baada ya
kurejesha
fomu za kugombea Urais wa Zanzibar katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi
iliyopo Hoteli ya Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...