Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia gharika ya wananchi wa Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.
Wananchi kwa maelfu wakimsikiliza Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia huko Makambako mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.
Wagombea wa nafasi mbalimbali wa Mafinga wali-Magufulika mbele ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika jimbo la Mafinga mkoani Iringa ambako alipita leo kumalizia viporo vya mkoa huo kwenye kampeni zake.
![]() |
MGOMBEA ubunge jimbo la Mafinga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( |
Mgombea Ubunge Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mahamudu Mgimwa akidhihirisha kuwa yupo fiti. Picha na Ahmad Michuzi Jnr.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hoi hoi na nderemo zipo, toka kwetu wana CCM kwenda kwenu wagombea wetu. Katika hili tuwaoneshe wapiga kura kuwa tuko fit, fit kuiongoza nchi na siyo kuwa Rais na kuwaachia Mamluki. CCM tuko ngangari kila mgombea a-magufulike kuonesha umahiri,na si umahiri wa physically tu na hata ki maendeleo. Tunakuja sasahivi na kazi tu!! Hapan dhihaka wala mchezo. Air Marshal Mwegulu Nchemba na timu yako sisi tumekuachia anga wakati tuliobaki tuko ardhini kutimiliza yale yatakayotushikisha DOLA baada ya 25. Oktoba. CCM mbele kwa mbele, waache waisome namba. Naam,tumejipanga!!
ReplyDelete