Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akifungua Pazia kuashirika kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa
Nyumba ya Kuishi Askari Polisi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa
Kaskazini Pemba.
 Balozi Seif akikagua moja ya vyumba Kumi vilivyomo
ndani ya jengo linalojengwa kwa ajili ya makaazi ya Askari Polisi
Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba.
 Baadhi ya Makamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa
Kaskazini Pemba wakifuatilia hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani
ambapo wa kwanza kutoka kulia ni OCD Wilaya ya Micheweni Kamanda Haji Miraji na anayefuatia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba RPC Moh’d  Shehani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni vizuri kuimarisha makazi ya askari ili wakae katika nyumba za kisasa zinazokidhi hadhi, mazingira mazuri, yatakayowapa motisha kufanya kazi yao vizuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...