KUMBUKUMBU YA FLORA
(MAPENDO YA FLORA)
_________________________
TUNAPOADHIMISHA
MIAKA MIWILI YA KUMBUKUMBU
YA KIFO CHA
MPENDWA WETU
FLORA FLOWIN
MKANULA
(1993
– 2013)
___________________________________
Tunaona ni vema
kumshukuru MUNGU hasa kwa mapendo aliyotushirikisha kupitia maisha ya FLORA,
nasi tukabakiwa kwa namna ya pekee tunamuenzi kwa matukio mbalimbali hasa
kupitia Misa Takatifu katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph Jimbo Kuu la Dar
es Salaam. Siku ya tarehe 10/09/2015, saa 12.30 asubuhi. Baada ya hapo tunadhulu makaburi ya
Kinondoni sote tuzidi kuyaenzi hayo.
“Pendaneni kindugu Rum
12:10
“APUMZIKE
KWA AMANI”
|
Home
Unlabelled
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA FLORA FLOWIN MKANULA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...