Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli (aliyechuchumaa) akiwa kwenye maabara ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati wakati akiwa mwanafunzi  mwaka 1985. Dkt Magufuli alisomea Kemia, Hisabati na Elimu. Kupata wasifu wake zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kumbe ndugu Raisi mtarajiwa ni teacher (mwalimu).

    Tuone kama mwalimu atakuza elimu.

    Hebu tuone kama atakuwa tofauti na walimu wengine. Mwl. Nyerere alitambua umuhimu wa elimu lakini walimu aliwalipa mshahara mdogo kuliko askari polisi. Mwl Mwinyi akendeleza. Na waliofatia.

    ReplyDelete
  2. Kumbe Magufuli ni mwalimu, kuna jamaa aliganga ya kwamba jamaa ni injinia, big up mwalimu maguguli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...