Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini
Tanzania Mhe. Jasem Najem wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini
Tanzania Mhe. Katarina Rangnitt wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa
Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015, kwa ajili ya kujitambulisha
rasmi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Finland Nchini
Tanzania Mhe. Pekka Hukka wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Septemba 18, 2015 kwa ajili ya
kujitambulisha rasmi. (Picha na OMR)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...