Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha aliyekuwa Mratibu wa Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu Bw. Baraka H. Luvanda kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Home
Unlabelled
Mhe. Rais Kikwete awaapisha rasmi Balozi Mwakasege, Bundala, Kilima, Luvanda, Mbega na Shiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mlioteuliwa kwa nyadhifa mbali mbali kuitumikia nchi yetu hongera sana fanyeni kazi kwa bidii kutimiza malengo ya kutimiza majukumu yenu.
ReplyDeleteMy 'Shoolmate' hongera sana! Fakhari iliyoje kukuona hapo katika picha ya pamoja na Mh. Rais. Am so proud of you, keep it up! Kwa ujumla nawapongeza nyoote mlioteuliwa kushika nyadhifa hizo mbali mbali na naamini mtakuwa ni Mabalozi na wawakilishi wazuri katika kuiwakilisha nchi yetu popote pale mnapostahili kuwepo. Hongereni sana na Mola atazidi kuwafanyie wepesi katika majukumu yenu ya kila siku na uwajibikaji wenu kwa jumla. In Sha Allah.
ReplyDelete