Mkurugenzi wa Everjobs Tanzania, Florens
Roell akielezea namna ambavyo waajiri na waajiriwa wanaweza kunufaika
na Kampuni ya Everjobs Tanzania ambayo inatoa nafasi kwa waajiriwa
kuweza kuomba kazi kupitia tovuti yao ya www.everjobs.co.tz.
Mmoja wa wageni waalikwa akiuliza swali kwa Wakurugenzi na maafisa wa Everjobs wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa uliofanyika jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...