Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akizungumza na wananchi juu ya kutambua michango ya kimaendeleo inayofanywa na wanawake kwa kuwawekea kumbukumbu kama ilivyo kwa wanaume, ili kuleta uwiano wa kijinsia leo Jiji Dar es Salaam katika kilele cha tamasha la Jinsia.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akiteta jambo na Ruth Meena.
Wanawake wakitaja baadhi ya matatizo ambayo yanayowakabili ni pamaoja na suala la upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama maeneo mbalimbali nchini.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...