Mtendaji Mkuu katika Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji
wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari
Issa aliyekuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 23 ya Shule ya Sekondari ya St.
Mary’s Mazinde Juu akitoa zawadi kwa mmoja wa wanafunzi.
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu wakionesha vipaji vya kuimba na
kucheza wakati wa mahafali ya 23 shuleni hapo
Sehemu
ya wahitimu wa kidato cha nne katika mahafali katika Shule ya Sekondari ya St.
Mary’s Mazinde Juu wakifuatilia matukio katika sherehe hizo
Mmoja wa wazazi aliyeshiriki mahafali ya 23 ya
Shule ya Sekondari St. Mary’s Mazinde Juu akichangia ujenzi wa maabara ya
sayansi shuleni hapo
Mkuu wa Shule ya Sekondari St. Mary’s Mazinde Juu, Sister Evetha
Kilamba akikata keki maalum ikiwa ni moja ya shamrashamra za mahafali shuleni
hapo.
Mtendaji Mkuu wa PDB, Bw. Omari Issa akizindua maktaba mpya
ikiwa ni sehemu ya sherehe za mahafali ya 23 katika Shule ya Sekondari ya St.
Mary’s Mazinde Juu. (Picha Kwa Hisani ya PDB).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...