Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga (pichani) kilichotokea Hospitali ya TMJ 15.09.2015.
Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu Mikocheni nyumba namba 87 barabara itokayo Clouds FM kwenda Kanisa la Mchungaji Rwakatare na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kunzia saa sita.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...