Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani Zanzibar  hadi tarehe nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea jana tarehe 04 Octoba, 2015 asubuhi kwa ajali ya gari. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza na kushoto ni Rais wa ADA-TADEA na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa.
 Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza (wa pili kulia) akimkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai (wa pili kushoto) kuongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani Zanzibar  hadi tarehe nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea jana tarehe 04 Octoba, 2015 asubuhi kwa ajali ya gari. Wa kwanza kushoto ni Rais wa ADA-TADEA na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Monica Lawrence.
Baadhi wa waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati wa mkutano na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Peter Kuga Mzirai leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa salamu za rambirambi na kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike tarehe 06 na 07 Oktoba, 2015 katika Hoteli Bwawani Zanzibar  hadi tarehe nyingine itakapotangazwa tena kutokana na msiba wa Mwenyekiti wa taifa wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea jana tarehe 04 Octoba, 2015 asubuhi kwa ajali ya gari.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...