Mwenyekiti
wa CCM,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete
akisalimiana na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe
Magufuli,mara baada ya kuwasili katika uwanja wa CCM Kirumba kuhitimisha
shughuli za kampeni nchini kote,ambapo hapo kesho wananchi wanatarajia
kupiga kura ya kuwachagua viongozi wawatakao.
Mwenyekiti
wa CCM Dkt Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli wakielekea jukwaani kwa pamoja mara baada ya kupokelewa katika
uwanja wa CCM Kirumba ambapo umati mkubwa watu umejitokeza kushuhudia
tukio hilo adhimu.
Mara baada ya kuwasalimia Wananchi kwa pamoja wakirejea meza kuu.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitoa chama cha Mapinduzi CCM
Dkt John Pombe Magufuli akiwasili ndani ya uwanja wa CCM Kirumba huku
akilakiwa na melfu ya wakazi wa jiji la Mwanza waliofurika hivi sasa
kwenye hitimisho la mikutano ya kampeni.
Wakazi
wa jiji la Mwanza wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM alipokuwa
akiwasili ndani ya uwanja wa CCM Kirumba hivi punde kuhitimisha mikutano
ya kampeni,ambapo kesho Wananchi nchini watapiga kura kuwachagua
viongozi wawatako kuwatumikia katika awamu ya tano.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitoa chama cha
Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasili ndani ya uwanja wa CCM
Kirumba huku akilakiwa na melfu ya wakazi wa jiji la Mwanza waliofurika
hivi sasa kwenye hitimisho la mikutano ya kampeni.
PICHA NA MICHUZI JR-MWANZA
Wafa maji hao aweshi kutapatapa
ReplyDeleteChromosome vya ukawa mwisho wake kesho
ReplyDeleteUsikukute kwa khamasa za kampeni zilivyokuwa zikihamasisha, khususan kwa upande wa chama tawala, pengine ukawa huenda wengi wao waka make their mind in the last mininute na kuMAGUFULIka pamoja, kwani kura ni siri ya mtu mwenyewe ila matokeo ni ya wote, we never know. Naamini matokeo ya ushindi kwa Chama tawala kama alivyoweza kuyatabiri Mh. John Pombe Magufuli katika kufunga kampeni zeke jana Mkoani Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba, alisema anaamini yatazidi 90's%. Kwa kweli hata ukiangalia hali inatia moyo na kutupa matumaini makubwa na mazuri, maana hatuna haja ya kuandikia mate wakati vidau vya wino tunaviona mbele ya macho yetu. Mola Ibariki Tanzania, ubariki na Uchaguzi Mkuu Tanzania.
ReplyDelete