Watoto wa Halaiki wakiwa katika maandalizi ya
lala salama tayari kwa sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kama
walivyokutwa na mpiga picha wetu leo
katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Kilele cha mbio za Mwenge waUhuru kitaifa
zitafanyika tarehe 14 Oktoba mkoani hapo.
Picha na: Frank Shija, WHVUM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...