Rais Kikwete akipokea zawadi yake wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya walipoandaa shughuli hiyo mahususi ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi Jumapili usiku.
Mapaparazi hawakosekani kwenye shughuli kama hizi....
Rais Kikwete akiwa na wanachama wa Jumuiya ya Kinamama wa Tanzania waishio Kenya
RAis Kikwete akiwa na viongozi wa jumuiya
Rais Kikwete akiwa na wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya
Rais Kikwete akipata picha na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Tunamshukuru mheshimiwa Rais Kikwete na viongozi wote waliochangia namna moja au nyingine katika kuendesha serikali ya awamu ya nne. Katika wakati huu Rais wetu anapoaga tunamtakia heri njema yeye na familia yake atakapostaafu.
ReplyDelete