Katibu wa Jumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar Ahmed Suleiman akinawa mikono mara tu alipotoka  kwenye wodi za wagonjwa wa Kipindupindu.
 Picha ya pamoja ya wanajumuiya ya Maafisa Afya Zanzibar na wauguzi wa kambi ya Kipindupindu Chumbuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hizi huduma za maji safi na salama, nadhani ni za muhimu, lazma na wajibu kwa kila mwananchi siku zote na sio wakati wa dharura tu au maafa na maradhi kama haya ya miripuko ndio tukurupuke na kujuwa kuna umuhimu huo wa ku provide hayo maji safi na salama, nadhani huo sio utaratibu mzuri. Afya ya binaadam ni ya kujali na kuizingatia kila kukicha kwa kuimarisha usafi wa mazingira yanayomzunguka, lishe bora na huduma zote za jamii khususan za maji safi na salama, vinginevyo maradhi na khasa haya ya miripuko hayatochoka kutuandama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...