Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa jimbo la
Muleba ya Kusini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia
wananchi hao kuwa CCM imemleta Dk. John Pombe Magufuli kwa sababu ni
kiongozi imara asiyetetereka na amekuwa mstari wa mbele kuona Taifa hili
likiendelea..
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Muleba kusini
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na mgombea ubunge wa
jimbo la Muleba ya Kaskazini Ndugu Charles Mwijage pamoja na mgombea
ubunge wa jimbo la Muleba ya Kusini Profesa Anna Tibaijuka.
Helkopta iliyombeba Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ikipasua anga la mji wa Bukoba.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...