Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
   Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu Wastaafu na waliopo madarakani mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA-MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...