Wasanii wa Kikundi cha Big Star wakitowa burudani kwa wimbo maalum wa Kapeni wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.zilizofanyika katika viwanja vya mpira vya Urafiki mikunguni Unguja.
Wanachi wakishangilia wakati Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia na kutangaza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano jinsi itakavyotekeleza mambo mbalimbali katika sekta ya Jamii na kuimarisha maslahi ya Wananchi wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa mkutano wake wa kampeni ya kugombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya urafiki mikunguni Zanzibar na kuelezea vipaumbele vya Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka mitano ijayo ya Uongozi wake na kuwaomba kumpigia kura ya NDIO ili kuiongoza Zanzibar kwa mara nyengine tena kutekeleza Ilani hiyo kwa maendeleo ya Uchumi wa Zanzibar . 
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Udiwani katika Wilaya ya Amani Kichama wa CCM wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja urafiki mikunguni Zanzibar.


Shekh. akisoma dua baada ya kumalizika kwa mkutanio wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya moira vya urafiki Jimbo la Shauri moyo Zanzibar. 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...