Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kakskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo jimbo la Mtambwe.
 Baadhi ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC na Viongozi wengine wakiwa katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo katika jimbo la Mtambwe kijiji cha Mkoongeni.
 Mamia ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofurika katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Pemba katika Jimbo la Mtambwe,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa sera za CCM na kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza tena katika kipindi cha pili cha Uongozi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...