UBALOZI WA CANADA, NORWEY, KINGDOM OF THE NETHERLANDS, BRITISH COUNCIL NA       
SIGHTSAVERS TANZANIA

MNADA WA HADHARA:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Canada,  Norwey , Kingdom of the Netherlands, British Council na Sightsavers Tanzania watauza kwa mnada wa hadhara  Magari pamoja na Fanicha za Ofisi na nyumbani tarehe 24 Oktoba, 2015 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Lion Street, Sinza.

MALI ZITAKAZOUZWA: Sofa sets, Recliner, Book cases, Meza za ofisi na viti, File cabinets, Vitanda ,Magodoro, Fridges, Freezer, Majiko , Washer, Dryer, Computer set, Photocopy m/c,  A/c split units,  Floor carpet  nakadhalika.

MAGARI + GENERETA ZITAKAZOUZWA:
Idadi
Aina
Model
Mwaka
Ushuru
2
Toyota L/Cruiser Prado
S/Wagon 5 L/1KZ Diesel Engine
2008/1999
Bado
1
Toyota Hilux P/ UP
Single Cubin  Diesel Engine
2005
Bado
1
Ford Everest
S/Wagon WLAT Diesel Engine
2009
Bado
1
Toyota Brevis
Saloon 1JZ  Petrol Engine
2001
Tayari
1
Totota RAV4
S/Wagon 1AZ Petrol Engine
2001
Bado
2
Suzuki motorcycle
Petrol Engine

Bado
1
Generator (Silence)
40 KVA Cummins Diesel Engine

Bado
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort, Lion Street, Sinza tarehe 22 na 23 Oktoba,  2015 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.

MASHARTI YA MNADA:
  1. Mnunuzi  wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa gari / genereta atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huu gari / genereta litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.

  1. Mali zote zitauzwa kama zilivyo.

  1. Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.

  1. Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo  baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru 
Kwa maelezo zaidi waone:

UNIVERSAL AUCTION CENTRE

NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS
SIMU NA:  0754-284 926, 0757 284 926               Email : universalauction@hotmail.com

DAR ES SALAAM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...