Wa kwanza kutoka kushoto ni Moderator wa Mkutano Ms. Paula Murphy, wa pili ni Panel Spekers Mr. James Paul, U.S. Department of Commerce U.S. Commercial Service, Director, Boston Office. wa tatu ni John Joyce, U.S Small Business Administration, Office of International Trade, Regional Manager, na wa nne ni Mr Tom Hardy. U.S. Trade and Development Agency, Director for Congressional Affairs and Public Relations.
Wote kwa pamoja walifafanua madhumuni ya mkutano huu uliokutanisha wajasiriamali kutoka sehem mbalimbali za Marekani na Africa. Dhumuni hasa ya mkutano huu ni kutoa fursa ya mikopo ya gharama nafuu kwa watu wenye nia ya kuanzisha biashara au kufungua company binafsi. Njia za kufuata, faida zake na mambo mengine ya jinsi gani mikopo kama hiyo ina weza kusaidia kujikwamua kimaisha kwa watu wa Diaspora wanaotaka kufanya hivyo huko Africa.

Alison Germak
Director, Corporate Development
Washington D.C. Metro AreaInternational Trade and Development.
President wa Temba Engineering Service New York, Dr Temba akiuliza swali kwenye mkutano huo.
Benedict Kazora, MSEE, MBA
Eastern Africa Diaspora Business Council (EADBC),
Verizon akiuliza swali.
Ny Ebra kutoka New York akibadilishana mawazo na Benedict Kazora kutoka Dallas. Kazora ni President of Eastern Africa Diaspora Business Council.
Dr Temba na washiriki wengine kutoka Africa wakifuhatilia kwa makini kinachozungumzwa mkutanoni hapo.
Mkutano huu ulifanyika ndani ya ukumbi wa Westin Boston Waterfront Boston, Massachusetts siku ya tarehe 13 hadi 14 Oct.
Kiswahili safi kipo kwenye parandesi, wakifuhatiria (WAKIFUATILIA) wakibadirishana (WAKIBADILISHANA).
ReplyDelete