Fuatilia uchambuzi wa soka wa Timu ya Taifa,Taifa Stars inayotarajia kuiivaa Algeria baada ya kufuzu katika hatua ya awali https://youtu.be/FkfZmS2HcH4
Itambue siku ya Taifa ya kuadhimisha upunguzaji wa maafa na majanga ambayo huadhimishwa ifikapo Okoba 13 kila mwaka: https://youtu.be/cFM0NLapGxY https://youtu.be/iC6UbTwuR_0
Klabu ya Toto Afrikan imefanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi 3 ambapo Godwin Aiko ameibuka mshindi na kuwa mwenyekiti mpya klabuni hapo:https://youtu.be/s1Q6msm58iY
Klabu ya Toto Afrikan imefanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi 3 ambapo Godwin Aiko ameibuka mshindi na kuwa mwenyekiti mpya klabuni hapo:https://youtu.be/s1Q6msm58iY
Chama cha soko Nchini England FA chagawanyika kuhusu kumuunga mkono Michel Platini kutokana na kusimamishwa na kamati ya maadili https://youtu.be/VcljC9dIWCI
Tambua umuhimu wa mdahalo katika wakati huu wa kuelekea uchaguzi Mkuu ambao unatarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu: https://youtu.be/wu5n8ISXsK0
Timu ya Taifa, Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua inayofuata licha ya kipigo cha bao 1 kwa bila dhidi ya wenyeji Malawihttps://youtu.be/YShM-ZB39nc
Mamlaka ya usimamizi wa mto Pangani huenda ikawa chanzo cha mgogoro kwa watumiaji wa maji ya mto huo. https://youtu.be/ItuUTW_yRSA
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Mizengo Pinda awataka watanzania kutofanya makosa kuchagua wagombea wasiokuwa na uwezo wa kugombea.https://youtu.be/iIhaYxRzZd0
Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa awataka wakuu wa wilaya hiyo kufanya kazi kwa weledi mkubwa na kuacha kukumbatia wawekezaji.https://youtu.be/8zDqIG6Lknc
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...