Balozi wa maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi Muita,MBS  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya ushiriki wa vijana katika uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho Oktoba 25 mwaka huu pamoja na ushiriki wa vijana katika uchaguzi huo. 

Afisa wa tume ya uchunguzi wa Tanzania,Kabyemela Lushagara akitoa maada katika mkutano wa vijana wa nchi mwanachama wa maziwa makuu pamoja na kuzungumza na baadhi ya vijana wa nchi za maziwa makuu leo katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam kuhusiana jinsi democrsia jinsi ilivyokua hapa nchini na ushiriki wa wapiga kura kesho Oktoba 25 mwaka huu.



Baadhi ya vijana walioshiriki mkutano wa vijana wa nchi za maziwa mkuuu wakimsikiliza mtoa mada leo katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.  
Baadhi ya wadau na vijana wa nchi za mwanachama wa maziwa makuu wakimsikiliza Balozi wa maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi Muita,MBS  leo wakati akiipongeza Tanzania kuendeleza uchumi pamoja na kushirikiana na nchi mwananchama kuunda uchumi wa nchi Balozi pia alipongeza nchi kwa kukua wa demokrasia 
Balozi wa maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi Muita,MBS  akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa nchi mwananchama wa maziwa makuu  leo jijini Dar es Salam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...