Wahamiaji haramu wawili kutoka Ethiopia wafariki na wengine 60 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi baada ya kubainika mara tu Gari ambalo walikuwa wakisafiria kugongwa na Basi la Jailan Jana Mjini Lindi.
Gari ambalo walikuwa wakisafiria wahamiaji haramu kutoka Ethiopia baada ya kugongwa na Basi la Jailan jana Mjini Lindi.
Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye makao makuu ya Uhamiaji mkoani Lindi.
Wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wakiwa chini ya Ulinzi kwenye makao makuu ya Uhamiaji mkoani Lindi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...