Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Isack Willson Mrema kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”.
Meneja mauzo wa Airtel bwana Emmanuel Raphael (kulia) akimpongeza
bwana Josephat Sagati (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya
“Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni moja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...