Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa benki ya Exim Tanzania Bw. Frederick Kanga (katikati) akimfanyia usahili mmoja wa watanzania anayeishi nchini Marekani Bw. Paul Rupia mara baada ya Mkutano wa Uajiri barani Afrika (Career Africa Recruitment Summit 2015) uliofanyika mjini New York, Marekani hivi
karibuni. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bw Dinesh
Arora. Benki hiyo imeahidi kutoa fursa sawa za ajira kwa Watanzania wote
wakiwemo wale wanaoishi nje ya nchi ili kuendana na sera yake ya ajira inayoangalia zaidi uwezo wa kiutendaji.
Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa benki ya Exim Tanzania Bw. Frederick Kanga (katikati) akimfanyia usahili mmoja wa watanzania anayeishi nchini Marekani Bi. Pamela Mgema mara baada ya Mkutano wa Uajiri barani Afrika (Career Africa Recruitment Summit 2015) uliofanyika mjini New York, Marekani hivi
karibuni. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bw Dinesh
Arora. Benki hiyo imeahidi kutoa fursa sawa za ajira kwa Watanzania wote
wakiwemo wale wanaoishi nje ya nchi ili kuendana na sera yake ya ajira inayoangalia zaidi uwezo wa kiutendaji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...