![]() |
Dkt Hamisi Kigwangalla Mbunge Mteule Nzega Vijijini CCM. |
MBUNGE mteule jimbo la Nzega vijijini Dkt Hamisi Kigwangalla (CCM) ametoa ushauri kwa wizara husika juu ya udhibiti
wa kuvuja kwa madawa serikalini na kwenda kwenye maduka binafsi.
Kupitia ukarasa wake facebook Kigwangalla amesema #Sasa Kazi Tu Changamoto ya Udhibiti wa Kuvuja
Madawa Kutoka Mfumo wa Serikali Kwenda Kwenye Maduka ya Watu Binafsi ni Katika
Mambo ambayo mgombea Urais wa CCM, Ndg. John Pombe Magufuli alionesha kuwa
yanamkera sana. Hivyo wananchi wanasubiri kuona nini kitafanyika kutatua
changamoto hii...kuna 'expectation gap' ambayo ni lazima izibwe ndipo watu
wasadiki kushuhudia #MabadilikoYaKweli.
Tatizo lipo kwenye hao watu wanaodili na madawa
ReplyDeleteThe mdudu, pamoja sana ndugu Hamisi K, kumbe tuna matinga tinga wengi ndani ya Tanzania yetu hili swala sio ushauri tena ila ni #lazimaiwehivyo mimi nashangaa sana hivi waziri husika alikua wapi? Mpaka mtu mwingine kabisa from no where anakuja na ushauri mwanana kabisa,,,,,,,, ndugu zangu watanzania ndugu yenu mimi The mdudu, nipo huku Uingereza ushenzi kama huo wa wagonjwa kukusa dawa kwenye hospital za serikali kamwe haiwezi tokea so ushauri wangu kwa rais wetu Magufuli Huyu ndugu HAMISI K, ana FIT wizara ya AFYA nakuomba umuweke huko please ili akomeshe huo ushenzi hongera sana ndugu Hamisi K, watu kama nyie mko wachache sana mungu akupe afya njema muda wote to be honest nimeguswa sana na ushauri wako
ReplyDelete