![]() |
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo. |
![]() |
Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
![]() |
Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akizungumza kuhusu ujenzi wa ngazi kuu za kungilia wodini katika hosptali ya Rufaa ya KCMC ambazo ujenzi wake uligharimu kiasi cha sh Mil 30 ,Fedha ambazo zilitolewa na Dkt Mengi. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. |
Hongera sana G. Masenga kwa kuwa mkurugenzi mkuu, classmate Tambaza high school.
ReplyDelete