Kituo kipya na cha kisasa kimefunguliwa huko Bagamoyo, eneo la Ukuni, Mkoa wa Kwani kikiwa na  huduma nzuri, kuanzia malazi, chakula bora na usafi wa hali ya juu na kipo sehemu tulivu tayari kuwasaidia waathirika wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe kupindukia, ikiwa ni pamoja na kuwaelimisha kwa njia ya ushauri nasaha na kuwarudisha katika hali timamu.
Kituo hiki cha aina yake kina wataalamu waliobobea kila idara.Pia kuna daktari wa afya.Kituo pia kinatoa mafunzo ya ujasiriamali na mafunzo ya kompyuta pindi mwathirika anaporejea katika hali ya utimamu.
Hali kadhalika kituo hiki  pia huwatafutia waliopata nafuu wafadhiri  ili waweze kupata mafunzo kwenye vyuo vya ufundi vya serikali vya VETA kama vile  useremala, udereva, ufundi umeme, fundi wa  magari na kadhalika.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0714 119494/0676948829/0718512627

 Lango kuu la Life and Hope Rehabilitation Centre (Bagamoyo Sober House).
 Mandhari ya Life and Hope Rehabilitation Centre (Bagamoyo Sober House).
 Sebule ya Life and Hope Rehabilitation Centre (Bagamoyo Sober House).
 Sehemu ya malazi katika Life and Hope Rehabilitation Centre (Bagamoyo Sober House).
 Kompyuta za kisasa kwa wataopitia Life and Hope Rehabilitation Centre (Bagamoyo Sober House).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...