Home
Unlabelled
Minnesota Muslim Woman BRUTALLY SMASHED IN FACE With BEER MUG For Speaking SWAHILI At APPLEBEE'S!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole sana Asma, inauma na kutia imani. Binafsi nadhani unapokuwa katika mazingira tofauti na kwenu, nikimaanisha pengine nchi tofauti ambayo hata lugha yako kuiskia si aghlab sana, basi sioni sababu au kikwazo chochote cha kutokuizungumza khususan unapokuwa na wanafamilia wako au hata ndugu, jamaa na marafiki zako mnaozungumza lugha moja, lakini itategemea na mazingira mliyopo na hata waliokuzunguka, kadhalika zile gestures katika maongezi yenu na hata body language kwa jumla, kwa baadhi ya watu ambao siyo native speakers wa lugha hiyo, huwa wana mind sana na hata kujiona kama wapo isolated au kufeel uncomfortable, nadhani ni ule wahka tu na mashaka ya moyo. Hivyo huweza kupelekea kujikhisi ama kujidhania toufauti kabisa na kufikia maamuzi mithli hiyo ambayo husababisha madhara kama hayo. Ndio mana kwa baadhi ya nchi za wenzetu, unakuta sometimes wanapinga sana suala la kuongea hizi venacular than english, ili kuwaunganisha na kuwaweka pamoja bila mtu kuji feel kutengwa au kukhisi mtu anaongelewa yeye.
ReplyDeleteWe jamaa wa mwanzo. Usitoe ushauri wa watu kuacha kutumia uhuru wao eti kwa sababu kuna wakosefu watakasirika. Hiyo kazi ya kulinda uhuru ni ya polisi na hapo walibugi.
ReplyDeleteNchi ya amerika ina uhuru kuliko nchi zote duniani na hili litashughulikiwa vizuri tuu.
Natumai alofanya hivyo hana imani na kama anyo basi wenzake wajue kuna tatizo katika wafusi wa imani hiyo.
Lazima dini zifundishe kuwa nchi za kisecula kila mtu ana uhuru wa kufuata dini yake hata kama dini hiyo inapingana na yako. Na mtu asihukumiwe kwa kufuata dini yake. Mfano: kumnyima huduma, kumnyima kura, kumnyima ushirikiano, kumpa mashinikizo ya kijamii nk.
Huwezi kuacha haki ya uhuru ili kupata usalama kiduchu. Ukifanya hivyo utakasa yote. msemo wa raisi wa zamani wa amerika.
ReplyDeleteNa pia marekani hamna negotiation na wahalifu.
If I were you I would continue to jamm it down their throat.
ReplyDeleteMdau wa pili hapo juu, jaribu kutulia na kutuliza akili kila unapoyasoma maoni ya wachangiaji kwa kituo ili upate point ya kile mtoa maoni au mchangia mada alichokiandika au kukielezea na siyo kukurupuka tu na kuanza kushtumu kwa hoja ambazo hazikuongelewa wala kuandikwa hapo, usiwe na jazba au mumkari mithli hiyo. Kama wachangiaji wengine nimetowa maoni yangu tu na katu sikushauri chochote au lolote kukhusiana na khabari hiyo. Ajabu umeigeuza khabari hiyo kama mtego wa panya kutaka kuingiza yalokuwemo na yasokuwemo. Unaweza kuchangia maoni yako kwa kuongea chochote kile na bila kuathiri hisia za mtu au bila kuegama upande wowote ule na bado ukaeleweka vizuri tu. Hata hivyo siku zote ukitaka kupata ukweli wa jambo ni kuhusisha pande zote tatu, mtenda, mtendwa na mtoa suluhu wa jambo husika. Ndio mana nimetoa maoni yangu pasina kubase upande wowote juu ya hilo nikiamini sina hakika na scenario nzima ilivyokuwa.
ReplyDeleteGosh! , reading swahili can be hard sometimes, I prefer kenyan swahili, easier, simpler, faster.
ReplyDeleteCan't even understand this TZ swahili well, I prefer kenyan Swa, easier simpler and faster. But when you're in Rome do what Romans do and be safe.
ReplyDelete