SIMU.TV: Uzoefu, busara kumbeba Spika, wabunge wataja sifa nyingine, awe na ujuzi wa sheria. Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa; https://youtu.be/ZLbwvEA0E-A
SIMU.TV: Kasi ya Magufuli noma, waziri mkuu anatakiwa kuwa na sifa ya ufuatiliaji. Uwazi wa EWURA ulivyoleta unafuu wa bei ya mafuta; https://youtu.be/ZhWl1GQz1Gk
SIMU.TV: Lowassa, Maalim Seif wateta saa moja. Mtanzania atuhumiwa kuhifadhi maiti Brazil. Walimu washauriwa kufuata kasi ya rais;https://youtu.be/Y_KOeoty6BY
SIMU.TV: Kufa na kupona Stars leo. Samatta aahidi kufia uwanjani. Tumba Sued kuchukua nafasi ya Nyoso Mbeya City; https://youtu.be/XFkFYZGIzd0
SIMU.TV: Dodoma yaanza kufurika, wanowania kumrithi Makinda wafikia 22. Katibu mkuu awavua nguo viongozi Dar atoa siku 14 jiji liwe safi;https://youtu.be/W2lLELZBMGg
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...