Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume katika hafla fupi iliyofuatia kuzinduliwa kwa Bunge na Rais John Magufuli kwenye mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Hafla hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya Bunge
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akifurahia jambo katika mazungumzo na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (kushoto) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Abdallah Bulembo katika hafla fupi ya kuzindua bunge iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai (kushoto) , Mkewe Mary (wapili kushoto) na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila (wapili kulia) katika hafla ya kuzindua Bunge iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 20, 2015
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kassim akizungumza na baadhi ya wabunge na waalikwa waliohudhuria hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 20, 2015. Picha na PMO
Jamani huu mchapalo ndio uliokuwa wa sh milioni 250?
ReplyDelete