Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kulia akifurahia jambo na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Joseph Magufuli kulia akizungumza na Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Ikulu jijini Dar es Salaam kwaajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dkt. John Pombe Joseph Magufuli kulia akiagana na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kufanya nae mazungumzo ikulu jijini dar es salaam.
Mazungumzo yalihusu uwezekano wa CCM kurudia uchaguzi Zanzibar na namna ya kuhakikisha CCM itashinda vipi kwa kuwa hakuna watu wa kotosha kuwapa ushindi.
ReplyDeleteWAKANYWA SODA BAADA YA MAZUNGUMZO BILA KEKI KWA KUWA TUNABANA MATUMIZINA KUONDOKA.
mdau.
Dar.