Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana.
 Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere (JNIA).
Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu (United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi (wa pili kutoka kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (wa tatu kutoka kulia), pamoja na Viongozi Wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Safari za ndege za shirika la Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi leo mchana, katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere (JNIA).
(HABARI PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-UCHUKUZI).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. The mdudu, na sisi umefika wakati wa kua na madude kama hayo ya Etihad

    ReplyDelete
  2. With Magufuli tutaweza kufika huko. He is seriously meaning business. Mungu amlinde dhidi ya maadui wa maendelep.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...