Mlau (Proctor) wa Chuo Kikuu Ardhi Prof.Joseph Lusuga Kilonde akiongoza andamano la wanataaluma (Academic Procession) wa Chuo Kikuu Ardhi Wakati wa Mahafali ya 9 ya Chuo hicho jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Mhe. Cleopa Msuya (kulia) na Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof.Idrissa Mshoro wakiongoza  wahitimu wa Chuo hicho wakati wa Mahafali ya 9, mwaka 2015 jijini Dar es salaam.
 Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi Mhe. Cleopa Msuya (katikati) na na viongozi wengine wa chuo hicho wakiwaongoza  wahitimu wa  Chuo Kikuu Ardhi na wageni mbalimbali  Kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa shughuli ya kuwatunuku wahitimu wakati wa Mahafali ya 9 ya chuo hicho jijini Dar es salaam.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...