Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Pius Msekwa akitunuku Shahada, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa Chuo hicho wakati wa mahafali ya kwanza ya chuo hicho. 
Wahitimu wa kozi mbalimbali waliohitimu katika Chuo Kikuu cha Ushirika mjini Moshi,(MoCU).
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) akiwa na mmoja wa wakufunzi katika chuo hicho Dkt Kaleshu, wakipozi katika picha ya pamoja na Mbunge wa Viti maalum CCM ,Sharry Raymond.
Picha zaote na  Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...